Ni wakati wa kutetea

haki za wanawake

#PUSHforMidwives kwa kukuza malengo ya Kampeni ya PUSH!

Bofya kwenye visanduku vilivyo hapa chini ili kuchagua na kushiriki ujumbe unaohusiana na changamoto wanazopita wakunga, wanawake na watu wanaojifungua katika eneo lako

Fedha zaidi kwa wakunga zaidi

Upungufu wa kimataifa wa wakunga 900,000 unatishia maisha ya watoto na watoto wachanga. Wakunga wana uzito mkubwa kwa uboreshaji wa afya na kuzuia vifo — lazima serikali ziwekeze katika kuongezea wafanyakazi hawa muhimu wa afya #PUSHForMidwives: @pushcampaignorg

Kuongezea huduma ya ukunga kunaweza kusaidia:

-15M

Kupunguza idadi ya utoaji mimba kutoka milioni 40 hadi milioni 25

-12K

Kupunguza idadi ya utoaji mimba kutoka milioni 40 hadi milioni 25 Kuepusha vifo vya watoto wachanga kwa sababu ya HIV kutoka 27,000 hadi 15,000

220M

Kuongezea upatikanaji wa vidonge vya kuzuia mimba na mpango wa kisasa wa kupanga uzazi kwa zaidi ya wanawake milioni 220 ambao hawawezi kupata vidonge vya kuzuia mimba

wanawake 810

huaga dunia kutokana na matatizo ya ujauzito na kujifungua. Wakunga, wakiwa na rasilimali za kutosha, wanaweza kuepusha asilimia 67 ya vifo vya akina mama + asilimia 65 ya watoto wanaozaliwa wakiwa wafu. Ni wakati wa

Elimu na mafunzo yaliyoboreshwa

Ili kuongezea sauti za wanawake katika uongozi, wakunga wanahitaji nafasi zaidi za elimu, njia wazi za kupata vyeo, na nyadhifa thabiti katika serikali #PUSHForMidwives: @pushcampaignorg

Kuongezea huduma ya ukunga kunaweza kusaidia
16x
Ukunga ni 'ununuzi bora' kwa afya ya MNH, ununuzi unaotumia rasilimali vizuri na una viwango bora vya huduma zaidi ya aina nyingine za huduma. Kuwekeza katika elimu ya ukunga huleta faida ya 16%, katika maisha yaliyookolewa na hatua za matibabu zilizoepushwa.

Ili kuongezea sauti za wanawake katika uongozi, wakunga wanahitaji nafasi zaidi za elimu, njia wazi za kupata vyeo, na nyadhifa thabiti katika serikali #PUSHForMidwives: @pushcampaignorg

Malipo na hali bora za kufanya kazi

Wakunga hawathaminiwi na hawalipwi vya kutosha. Lakini serikali zinaweza kubadilisha hayo kwa kuwekeza kifedha katika wakunga, itakayosababisha "faida mara tatu" – za afya nzuri, maendeleo na matokeo ya kijinsia. Jifunze zaidi: @pushcampaignorg #PUSHForMidwives

Zaidi ya 1 kati ya wakunga 3
walisema walidharauliwa na wafanyakazi wakuu wa matibabu na asilimia
20%-30%
walibaguliwa au kutendewa vibaya
Ilhali nusu tu ya mataifa 164 yanayotoa data ina sera za kuzuia mashambulizi kwa wakunga.

Pengo la malipo kati ya jinsia liko juu sana katika huduma ya afya, na wakunga hawawakilishwi na hawathaminiwi hata katika afya - licha ya majukumu, mawanda na hatari kuu wanazozipitia.

Heshima hadhi na uhuru

Wakati wakunga wanaongoza, wanawake kila mahali wanashinda. Kuwahusisha wanawake katika uongozi huweka haki za wanawake kwenye ajenda ya afya. #PUSHForMidwives: @pushcampaignorg

11%

ya nchi zilizochunguzwa ziliripoti HAKUNA wakunga wowote walio katika nyadhifa za uongozi, na nusu hazina wakunga katika Wizara ya Afya.

Mkunga mkuu kwa kila

nchi atasaidia kuhakikisha mahitaji ya wakunga na ya wanawake na watoto wachanga wanaowahudumia yatazingatiwa katika sera zinazoathiri hadhi, afya na ustawi wao.

Kanuni zilizoboreshwa za kijinsia

Wakunga uharakisha ajenda ya haki za binadamu kwa kuhakikisha njia ya uhuru wa uzazi wa wanawake. Kwa urahisi, kuwekeza katika wakunga ni kuwekeza katika kazi ya kutetea haki za kijinsia, na haki za wanawake wakati wa kujifungua na kuendelea. #PUSHForMidwives: @pushcampaignorg

wakunga ndio wanaharakati wa kila siku
wanakuza mifano ya huduma za kijamii wanafikia vijana na huduma za SRHR

#Midwives wana uwezo wa kuziba mianya katika huduma na kupunguza utofauti kupitia jukumu lao katika #reprohealth, jamii, na kutoa huduma inayofaa kiutamaduni. Jifunze zaidi: @pushcampaignorg #PUSHForMidwives

LEARN MORE

Read more about the #PUSHCampaign in our Concept Note, linked below

CLICK HERE

Join Us

Join the global movement to strengthen the future of humanity by strengthening midwife-led care.

Thank you! Your submission has been received!
Oops! Something went wrong while submitting the form.